ANNOUNCEMENT TO PUBLIC REGARDING FORM FIVE AND FORM SIX 2017




RATIBA YA MUHULA YA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO NA SITA KWA MWAKA 2017



OFISI YA RAIS TAMISEMI INAWATANGAZIA KUWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO MWAKA 2017 WATAFUNGUA SHULE TAREHE 17/7/2017 NA KUFUNGA TAREHE 15/12/2017, MHULA WA PILI (2) UTAANZA TAREHE 08/01/2018NA KUFUNGA TAREHE 31/05/2018.

AIDHA, WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WATAFUNGUA SHULE TAREHE 03/7/2017 NA KUFUNGUATAREHE 8/12/2017.


MIHULA KWA KIDATO CHA TANO 2017/2018
MIHULA
Kufungua
LIKIZO FUPI
Kufunga
IDADI YA





SIKU ZA


Kufunga
Kufungua




MASOMO











Mhula I
17/7/2017
15/9/2017
25/9/2017
15/12/2017
103






Mhula II
08/1/2018
31/3/2018
16/4/2018
31/5/2018
91







Jumla ya Siku za Masomo

194











MIHULA KWA KIDATO CHA SITA 2017/2018
MIHULA
Kufungua
LIKIZO FUPI
Kufunga
IDADI YA





SIKU ZA


Kufunga
Kufungua




MASOMO











Mhula I
03/7/2017
01/9/2017
18/9/2017
8/12/2017
103






Mhula II
08/1/2018
31/3/2018
16/4/2018
31/5/2018
91







Jumla ya Siku za Masomo

194







ANNOUNCEMENT TO PUBLIC REGARDING FORM FIVE AND FORM SIX 2017 ANNOUNCEMENT TO PUBLIC REGARDING FORM FIVE AND FORM SIX 2017 Reviewed by ZOO MWAMBA on 5:27 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.