Mapenzi na Michongo Blog

Mapenzi na Michongo Blog

Mahaba

Breaking News
Loading...

Latest Post

Wednesday, May 24, 2017

BEST CARTOONsHAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT 2017TAARIFA KWA UMMA


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.

TODAY'S NEWSPAPERS ON THURSDAY MAY 25,2017


MUME WA ZAMANI WA ZARI WA DIAMOND PLATNUMZ AMEFARIKI DUNIA

Siku chache baada ya kuwepo taarifa za kuugua ghafla kwa Ivan Semwanga a.k.a Ivan the Don, mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na mzazi mwenza wa mrembo Zari The Boss Lady, leo May 25, 2017 imeelezwa kuwa tajiri huyo kijana amefariki dunia.

Saturday, May 20, 2017

MAMBO 10 MABAYA AMBAYO HUWA UNAMWAMBIA MTOTO WAKO KIMAKOSA KILA SIKU


Yapo mambo mengi ambayo wazazi huwaambia watoto wao kwa kuwa wanawapenda sana na wangetaka kuwaona wakiwa na furaha kila mara wakati, lakini baadhi ya maneno hayo hugeuka tatizo kwa watoto hao bila wao kufahamu.

NJIA 60 ZA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO


1. Mfanye ahisi kuwa yuko salama; acha kuwa mbabe na mgomvi!

JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE ASIKULOGE AU KUKULISHA LIMBWATA


Nipo tena kwa Mara nyingine katika kubadilishana uzoefu juu ya mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano,kuna jambo limekuwa likiniumiza kichwa sana ni swala zima la kulogwa au kupewa limbwata na mwanamke. 

JIFUNZE JINSI YA KUKATA VIUNO UNAPOKUWA KITANDANI..SOMA HAPA MAUJANJA

Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda.

KAMA UNATAKA KUFANYA MAPENZI BILA KUCHOKA KULA VYAKULA HIVI HAPA...VINAONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA


Ni ndoto ya kila mwanamume kuwa bingwa kitandani lakini nyakati zingine ngoma hukosa hata kushika kasi, na kuwafanya wanaume hao kukandamizwa na mawazo
- Watafiti, hata hivyo, wamebaini vyakula fulani ambavyo wanakushauri kuvitumia kuimarisha ngoma
1. Kahawa

ETI WANAUME MA HANDSOME HAWANA LOLOTE KITANDANI ZAIDI YA KULAMBA LIPS ZA WANAWAKE

Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

SABABU 5 KWANINI MAPENZI YA MBALI HAYADUMU..SOMA HAPA

Wengi wetu hujiuliza kwanini maisha ya mapenzi ya mbali huwa hayafiki mbali na kubaki wa kijiuliza tatizo ni nini? Wakati mwingine watu huanza kuulizanaa mchawi ni nani katika mapenzi yao. Laa hasha!! Huenda mchawi wa mapenzi yako ni wewe mwenyewe lakini hujui kwa sababu hakuna mtu ambaye ameshawahi kukueleza jambo hili na lile ndio tatizo

Monday, May 15, 2017

ZIJUE FAIDA 15 ZA KUFANYA MAPENZI......DAH!! TENDO LA NDOA LINA RAHA YAKE

Tendo la ndoa tangu uumbaji lililengwa kati ya mwanaume na mwanamke waliofunga ndoa, sasa hivi dunia imebadilika sana kiasi kwamba tendo hili sio lazima kuliita la ndoa tena. watu wengi wamekua wakishiriki tendo la ndoa bila kujua faida zake.lakini tendo la ndoa lina faida nyingi sana kiafya na kisaikolojia. hivyo kama wewe una mke, mchumba au mpenzi halafu kila siku unampa sababu za kutoshiriki basi huenda hujui faida zake. hebu tuzisome kama ifuatavyo..

MAMBO 10 YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUPENDE MILELE..HUTAACHIKA KABISAAAA


Wewe kama mwanamme au mwanamke, najua unahitaji sana kulitunza penzi lako na kufanya lidumu milele kama wenyewe mnavyosema. Lakini wacha nikwambie kutunza penzi si ghalama kama watu wengi wanavyodhani, ila kuna vitu vichache ambavyo ukivifanya basi utadumu naye. Maana ingekuwa mapenzi ni ghalama basi maskini wasinge dumu kwenye mapenzi yao, lakini badala yake maskini ndiyo wanaongoza kudumu katika ndoa Na hizi ni hatua 10, ukizifanya mtadumu.

TAREHE / SIKU NZURI KWA MIMBA KUWEZA KUTUNGWA...SOMO BABU KUBWA MENSTRAL CYCLE

Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya  jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.